Lesbo (kwa Kigiriki: Λέσβος, Lésvos) ni kisiwa cha Ugiriki katika Bahari ya Aegean chenye eneo la Km² 1,633.

Lesbo ilivyo.
Mlima Olympus una kimo cha mita 967.
kijiji cha Agiasos.

Kina wakazi 86,436 (2011) wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii. Makao makuu yako Mutilene.

Mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, aliabiri kutoka huko hadi Samos akielekea Yerusalemu[1].

Tanbihi hariri

  1. Mdo 20:14 And when he met us at Assos, we took him on board and came to Mitylene. 15 We sailed from there, and the next day came opposite Chios. The following day we arrived at Samos and stayed at Trogyllium. The next day we came to Miletus. 16 For Paul had decided to sail past Ephesus, so that he would not have to spend time in Asia; for he was hurrying to be at Jerusalem, if possible, on the Day of Pentecost.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lesbo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.