Lhasa ni mji mkuu wa Tibet ya kihistoria na pia ya Mkoa wa kujitawala wa Tibet katika China. Kati ya wakazi wake 474,490 idadi kubwa, yaani 387,124 walikuwa Watibet, wengine Wachina.

Lhasa
Skyline ya Lhasa
Skyline ya Lhasa
Majiranukta: 29°39′55″N 91°7′2″E / 29.66528°N 91.11722°E / 29.66528; 91.11722
Mkoa wa kujitawala Tibet
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 474,499 (2,000)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lhasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.