Liar, Liar, Vampire
Liar, Liar, Vampire ni filamu ya vichekesho ya Kimarekani ambayo ilitolewa mnamo 12 Oktoba 2015 kupitia Nickelodeon.
Filamu hii imeongozwa na Vince Marcello na muhusika mkuu katika filamu hii ni Rahart Adams. Filamu hii inamuhusu kijana mmoja aitwae Rahart Adams kama mwanafunzi mpya alieamia katika shule ngeni na wanafunzi katika shule hiyo wakadhani kuwa yeye ni vampire na anaamua kukubali ili kuweka umaarufu wake.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liar, Liar, Vampire kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |