Lidio Andrés Feliz

Lidio Andrés Feliz (alizaliwa 6 Juni 1997) ni mwanariadha wa Jamhuri ya Dominikana.[1] Alishindana katika mashindano ya mbio za mita 4 × 400 kwenye Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020.[2][3]

Marejeo hariri

  1. "Olympedia – Lidio Andrés Feliz". www.olympedia.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-05. 
  2. "Athletics - Round 1 - Heat 1 Results". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-05. Iliwekwa mnamo 2021-10-05. 
  3. Julio E. Castro (2021-07-24). "Atletismo de RD sale desde España para Japón". Periódico El Caribe (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2021-10-05. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lidio Andrés Feliz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.