Litifridi I (aliishi karne ya 9 BK) anakumbukwa kama askofu wa Pavia, mji wa Lombardia, Italia Kaskazini, kuanzia mwaka 864 hadi 874[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 20 Desemba 1888[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Machi[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/44290
  2. Index ac status causarum (1999), pp. 432 e 598.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.