Lo Bosworth
Lauren Ogilvie "Lo" Bosworth (alizaliwa 29 Septemba 1986) ni mhusika kwenye televisheni na mwandishi wa Marekani. Alizaliwa na kukulia Laguna Beach, California. Mle, alihudhuria Shule ya Upili ya Laguna Beach. [1]
Mwaka 2004, Bosworth alikuwa maarufu alipotokea kwenye kipindi mfululizo cha ukweli cha Laguna Beach: The Real Orange County. Baadaye alitokea katika kipindi mfululizo cha spin-off The Hills . [1]