Loho mtindo

Katika utarakilishi na lugha ya programu, loho mtindo ya tovuti (kwa Kiingereza: Style sheet) ni aina ya utengano wa maandishi kwa muundo wa tovuti.

Mfano wa hati ya CSS.

Loho mtindo inaumbwa na lugha ya programu ya loho mtindo kama CSS au XSLT

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).