Loir Botor Dingit

mwanamazingira kutoka Indonesia

Loir Botor Dingit (alifariki 2005) alikuwa mkulima wa rattan na Chifu Mkuu kutoka Indonesia . Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka wa 1997[1] kwa juhudi zake za kulinda misitu.

Marejeo hariri

  1. Goldman Environmental Prize: Loir Botor Dingit Archived 2007-12-04 at the Wayback Machine (Retrieved on November 28, 2007)