London Electrobus Company

London Electrobus Company ni kampuni ya uendeshaji wa mabasi ya umeme jijini London, Uingereza[1]. Kampuni ilikuja na betri kwa ajili ya mabasi ya umeme na pia ndio kampuni iliyoko kifua mbele kwenye utengenezaji wa mabasi ya umeme yaliyoibuka kwenye karne ya 21[2].

Marejeo hariri

  1. "London Electrobus Co - Graces Guide". www.gracesguide.co.uk. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  2. "New Scientist | Science news and science articles from New Scientist". www.newscientist.com. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu London Electrobus Company kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.