Looking for Mister Perfect
Looking for Mister Perfect ni filamu ya Hong Kong ya kimapenzi na vichekesho ya mwaka 2003 ilioongozwa na Ringo Lam pamoja na nyota Shu Qi na Andy On.Pamoja na baadhi ya waigizaji wengine ambao wamehusika katika sehemu ndogo ya filamu hiyo.
Wahusika
hariri- Shu Qi kama Grace
- Andy On kama Alex
- Isabel Chan kamaJoey
- Simon Yam kama Poon
- Ruby Wong kama Mchumba wake na Poon
- David Wu kama Richard
- Raymond Wong Ho-yin kama Vincent
- Hui Shiu Hung kama Teddy
- Lam Suet kama Bobby Chan
- Chapman To kama Crab
- Kristal Tin kama Mke wa Chan
- Nelson Cheung kama James
- Godfrey Ngai kama Ken
- Cody Lee kama Tina
- Lai Yiu Cheung kama Ofisa Mkuu wake na Grace
- Mike Cassey kama Mhubiri
Marejeo
haririMakala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Looking for Mister Perfect kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |