Lorenzo Albacete
Lorenzo Albacete Cintrón (7 Januari 1941 – 24 Oktoba 2014) alikuwa mwanateolojia, padre wa Kanisa Katoliki, mwanasayansi na mwandishi kutoka Puerto Rico. Alikuwa na mchango katika New York Times Magazine na alikuwa mmoja wa viongozi wa harakati ya kimataifa ya Kikristo ya Communion and Liberation nchini Marekani. Alikuwa pia Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Crossroads Cultural Center.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Deacon Keith A Fournier. "Rest in Peace, Msgr. Lorenzo Albacete Communion and Liberation Priest Enters Eternal Encounter", catholic.org, October 24, 2014.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lorenzo Albacete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |