Los Angeles Lakers

Los Angeles Lakers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Los Angeles, California. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Lebron James, Anthony Davis, DeMarcus Cousins.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Los Angeles Lakers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.