Luísa Canziani dos Santos Silveira (alizaliwa 11 Aprili 1996) ni mwanasiasa na mwanasheria wa Brazil ambae ametumia mda wake mwingi kwenye kazi za siasa kuwakilisha jimbo la Parana, akiwa kama mbunge toka mwaka 2019.[1][2]

Luísa Canziani

Maisha binafsi

hariri

Canziani ni mtoto wa mwanasiasa na mwanasheria Alex Canziani.[3] Luisa ni mhitimu wa chuo cha Portifical Catholic huko Parana[4]

Marejeo

hariri
  1. "LUISA CANZIANI – Biografia". Câmara dos Deputados do Brasil (kwa Portuguese). Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "LUISA CANZIANI – Biografia". Câmara dos Deputados do Brasil (kwa Portuguese). Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Bubniak, Taiana (23 Novemba 2018). "O que pensa a deputada federal mais jovem do país" (kwa Portuguese). Gazeta do Povo. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. Bubniak, Taiana (23 Novemba 2018). "O que pensa a deputada federal mais jovem do país" (kwa Portuguese). Gazeta do Povo. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luísa Canziani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.