Lucas Ansah-Peprah

Mwanariadha wa Ujerumani

Lucas Ansah-Peprah (alizaliwa 16 Januari 2000) ni mwanariadha nchini Ujerumani ambaye alishiriki katika mashindano ya wanaume ya mbio za mita 4 × 100 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2020.[1][2]

Lucas Ansah-Peprah

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Ansah-Peprah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.