Lucy Chege

Lucy Chege amezaliwa 15 Novemba ni mchezaji wa voliboli kutoka nchini Kenya. Amekuwa nahodha ya timu ya kitaifa ya wanawake ya Kenya ya voliboli.[1]. Ameshiriki katika Kombe la Dunia la Voliboli. Nchini Kenya,anachezea kilabu cha voliboli cha Kenya Pipeline.

Lucy Chege

MarejeoEdit

  1. FIBV: [Kenya picks 13 for Four Nations event]

Kigezo:Mbegu-wanamichezo-Kenya