Lucy Eaton Smith
Lucy Eaton Smith, O.P. (jina la kitawa: Mary Catherine De Ricci wa Moyo Mtakatifu; 1845 – 1894) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani ambaye alianzisha Masista Wadominiko wa Mt. Catherine de' Ricci, taasisi yenye hadhi ya Kipapa huko Albany, New York.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "The Congregation of St. Catherine of Ricci: Eleventh Article of American Foundations of Religious Communities". American Ecclesiastical Review: A Monthly Publication for the Clergy. 21: 271. 1899.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |