Open main menu

Krioli ni lugha inayotokana na matumizi ya pijini kwa muda mrefu. Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini.

Lugha hii huwa na miundo changamano. Pia inayo msamiati mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Krioli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.