Lugha za Kiurali
Lugha za Kiurali ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa upande wa Kaskazini wa Eurasia. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni 38 zizungumzwazo na watu milioni 25. Matawi mawili ya lugha za Kiurali ni lugha za Kifini-Kiugori na lugha za Kisamoyedi.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiurali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |