Luigi Scrosoppi, C.O. (Udine, Italia Kaskazini, 4 Agosti 1804 - Udine 3 Aprili 1884) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa shirika la Masista wa Maongozi wa Mt. Gaetano kwa ajili ya kulea Kikristo wasichana.

Sanamu yake.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 10 Juni 2001[1][2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Aprili[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saint Luigi Scrosoppi of Udine". Saints SQPN. 3 April 2009. Iliwekwa mnamo 15 April 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Canonization of 5 blesseds
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.