Luke Woolfenden
Luke Matthew Woolfenden (alizaliwa 21 Oktoba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Ipswich Town, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL.[2]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.efl.com/siteassets/efl-documents/efl-released-and-retained-list---2016-17.pdf
- ↑ "U23 Team - Defender - Luke Woolfenden". web.archive.org. 2017-08-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-12. Iliwekwa mnamo 2024-09-23.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luke Woolfenden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |