M/s
M/s ni kifupi cha mita kwa sekunde. m peke yake ni kifupi cha mita na s ni kifupi cha sekunde.
Kitu chenye kasi ya 1 m/s kinatembea mita moja katika muda wa sekunde moja. Kipimo hiki ni sehemu ya vipimo sanifu vya kimataifa (SI) kwa kasi. Katika maisha ya kila siku hakitumiki sana kwa sababu watu hawataki kujua mwendo wao kwa kila sekunde. Badala yake kipimo cha kilomita kwa saa kimekuwa kawaida zaidi. Lakini msingi wake ni m/s.
Kasi ya 1 m/s ni sawa na 3.6 km/h. Mwendo wa mtu anayetembea kwa miguu kwa kasi ya wastani huwa ni mnamo 5 km/h.
Hesabu
haririMita 1 kwa sekunde hulingana na: