Unene wa kupindukia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5
Mstari 15:
|
}}
'''Unene wa kupindukia''' (kwa [[Kiingereza]] "obesity" kutokana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''obesitas'', linalomaanisha "gumu, nono au nene” <ref name="etymol">''Ēsus'' is the past participle of ''edere'' (to eat), with ''ob'' (over) added to it. {{cite web|url=http://www.etymonline.com/index.php?term=obesity |title=Online Etymology Dictionary: Obesity |work=Douglas Harper|accessdate=December 31, 2008}}; ''[[Kamusi ya Kingereza ya Oxford]]'' ilichapisha kutumika kwake kwa mara ya kwanza mnamo mwaka wa 1611 na [[Randle Cotgrave]]. {{cite web |url=http://www.oed.com/ |title=Obesity, n |work=[[Oxford English Dictionary]] 2008|accessdate=March 21, 2009}}</ref>; [[jina la kisayansi]] kwa [[Kilatini]] ni "adipositas") ni hali mbaya ambapo [[mafuta ya ziada ya mwili]] hulimbikizana hadi kiwango kinachoweza kuathiri vikubwa [[afya]], ikipelekea ongezeko la [[maradhi]] na kupungua kwa [[matarajio ya kuishi]]. <ref name="WHO 2000 p.6">WHO 2000 p.6</ref><ref name=HaslamJames/>
 
[[Kipimo]] cha [[mwili]] kuwa mnene na mzito mno ni [[uwiano]] kati ya [[urefu]] wa mtu na [[uzito]] wake. Watu hutajika kuwa na unene wa kupindukia wakati [[nambapeo ya mata ya mwili]] (NMM), kipimo kinachopatikana kwa kugawanya [[uzito]] wa mtu kwa [[kilogramu]] kwa mraba wa [[urefu]] wake katika [[mita]], kimezidi 30&nbsp;kg/m<sup>2</sup>.<ref name="WHO 2000 p.9">WHO 2000 p.9</ref>
Mstari 50:
 
[[File:Obesity6.JPG|thumb|kushoto|alt=mtazamo wa mbele na upande wa kiwiliwili cha mwanamume aliye "mnene kupindukia". Alama za kuvutika kwa ngozi zinaonekana pamoja na jinakomastia.|Mwanamume "mnene kupindukia" aliye na Kielezo cha Uzani wa Mwili cha 47&nbsp;kg/m<sup>2</sup>: uzito 146&nbsp;kg (322&nbsp;lb), urefu sentimita 177&nbsp; (5&nbsp;ft 10&nbsp;in)]]
Katika [[watoto]], uzito ulio bora hutofautiana kwa sababu ya [[umri]] na [[jinsia]]. Katika watoto na [[vijana]] [[baleghe]], unene wa kupindukia hufasiliwa si kwa [[nambari]] kamili, lakini kulingana na kundi la kawaida la wakati huo, hivi kwamba unene wa kupindukia ni wa Kielezo cha Uzani wa Mwili kilichozidi [[asilimia]] 95 <ref name="cdc.gov">{{cite web|url=http://www.cdc.gov/nccdphp/dnpa/healthyweight/assessing/bmi/childrens_BMI/about_childrens_BMI.htm |title=Healthy Weight: Assessing Your Weight: BMI: About BMI for Children and Teens|publisher=[[Center for disease control and prevention]]|accessdate=April 6, 2009}}</ref>Data ya marejeleo ambayo ilitumiwa kukadiria hesabu hii ni ya [https://www.torrentdevi.org/ torrent oyun indir] kutoka mwaka 1963 hadi 1994, hivyo haijaathiriwa na ongezeko la uzito la hivi karibuni.<ref name="Flegal KM, Ogden CL, Wei R, Kuczmarski RL, Johnson CL 2001 1086–93">{{cite journal |author=Flegal KM, Ogden CL, Wei R, Kuczmarski RL, Johnson CL|title=Prevalence of overweight in US children: comparison of US growth charts from the Centers for Disease Control and Prevention with other reference values for body mass index |journal=Am. J. Clin. Nutr. |volume=73 |issue=6|pages=1086–93 |year=2001 |month=June |pmid=11382664 |doi= |url=http://www.ajcn.org/cgi/content/full/73/6/1086}}</ref>
 
{| class="wikitable" style = "float: right; margin-left:15px; text-align:center"