Wilaya ya Chalinze : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'Samahani wilaya ya chalize kuna mtu namtafuta anaitwa imannueli au festo nimeambiwa yupo mbwewe anafanya kazi ya miti ila sjajua ni wapi huko msaada naomba mnisaidie kumpata'
Tags: Replaced Reverted Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
Mstari 1:
Samahani wilaya ya chalize kuna mtu namtafuta anaitwa imannueli au festo nimeambiwa yupo mbwewe anafanya kazi ya miti ila sjajua ni wapi huko msaada naomba mnisaidie kumpata
'''Wilaya ya Chalinze''' ni mojawapo ya [[wilaya]] nane za [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]]. Wilaya hiyo inapakana na [[Wilaya ya Handeni Vijijini|Wilaya za Handeni]] na [[Wilaya ya Pangani|Pangani]] upande wa kaskazini na upande wa kusini na [[Wilaya ya Bagamoyo|Wilaya za Bagamoyo]] na [[Wilaya ya Kibaha Vijijini|Kibaha]]. Magharibi iko [[Wilaya ya Morogoro Vijijini|Morogoro Vijijini]] na upande wa mashariki wilaya inapakana na [[Bahari ya Hindi]].
 
Maeneo yake yalitengwa mwaka [[2015]] na [[Wilaya ya Bagamoyo]] na halmashauri yake ilianza kufanya kazi rasmi mwezi Julai 2016 <ref>[http://chalinzedc.go.tz/history Historia ya Halmashauri ya Chalinze], tovuti rasmi, iliangaliwa mnamo Septemba 2020</ref>.
 
Eneo la Wilaya ya Chalinze ni km<small><sup>2</sup></small> 8,042 zinazolingana na [[hekta]] 804,200. Takribani hekta 404,859 zinatumika kwa shughuli za kilimo na mifugo na hekta 51,127 ni misitu ya hifadhi za vijiji. [[Mbuga za Taifa la Tanzania|Hifadhi]] za [[hifadhi ya Saadani|Saadani]] na [[hifadhi ya Wami|Wami]] zinapatikana ndani ya wilaya hiyo.
 
[[Tabianchi]] ni ya [[kitropiki]] na kiwango cha mvua ni kati ya mm 800 hadi 1200 kwa mwaka. Mvua za vuli zinaanza kati ya mwezi Machi hadi katikati ya mwezi Mei. Majira ya kiangazi yanaanza katikati ya mwezi Mei hadi Oktoba.
 
Katika [[sensa]] ya mwaka [[2022]] wakazi walihesabiwa 316,759 <ref>https://www.nbs.go.tz</ref>.
 
[[Makao makuu]] yapo [[Chalinze|mjini Chalinze]].
 
Pamoja na Bagamoyo [[Misimbo ya posta Tanzania|misimbo ya posta]] huanza kwa 613.
 
[[Barabara]] muhimu za [[A7, Tanzania|A7]] ([[TANZAM]]) na [[A14, Tanzania|A14]] zinapita humo zikikutana mjini [[Chalinze]].
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Chalinze}}
{{mbegu-jio-pwani}}
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Pwani|C]]
[[Jamii:Wilaya ya Chalinze| ]]