Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Mohamedy Mnenda (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na AMATUS MGONDA
Tag: Rollback
Haijabadilishwa kwa muda
Tags: Reverted KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
Mstari 1:
[[Faili:Cristiano Ronaldo 2018.jpg|alt=Ronaldo katika kombe la dunia la mwaka 2018 nchini Ureno|thumb|Ronaldo katika kombe la dunia la mwaka 2018 nchini Ureno]]
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro,'''<ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo vs Lionel Messi: Who is the GOAT in football? The stats head-to-head showdown {{!}} Goal.com|url=https://www.goal.com/en/news/cristiano-ronaldo-vs-lionel-messi-who-is-the-goat-football-stats-/ual7d33i8hjz14plhwkf2yvkr|work=www.goal.com|accessdate=2022-05-03}}</ref><ref>{{Cite web|title=Cristiano Ronaldo: 'I'm the Best Player in History,' 'Have Always Thought That'|url=https://bleacherreport.com/articles/2748294-cristiano-ronaldo-im-the-best-player-in-history-have-always-thought-that|work=Bleacher Report|accessdate=2022-05-03|language=en|author=Gill Clark}}</ref> GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[mshambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Saudi Arabia]] katika [[klabu]] ya [[Al-Nassr]] na [[timu ya taifa]] lake. Meneja wake ni [https://www.tiktok.com/@billy_sang?_t=ZM-8sCtMfb0iXd&_r=1 Billy Sang]
 
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora [[duniani]] na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo amepata [[tuzo]] tano za FIFA Ballon d'Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara [[Ulaya]], na ni mchezaji wa kwanza katika [[historia]] kushinda mara nne [[viatu vya dhahabu]].