106.76.79.240
Darasa (kutoka neno la Kiarabu) ni jengo au chumba ambamo mafunzo ya elimu hutolewa, hasa shuleni. Madarasa haya hujengwa ili kunapotokea jua, mvua, vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara kwa wanafunzi wasipatwe nacho. Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia, madawati, pia meza ya walimu n.k.