Riccardo Riccioni
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Konvoyone''' (pia: ''Conwoion, Conwoyon, Konvoion''; Comblessac, 788 hivi - Saint-Maixent de Plélan, leo nchini Ufaransa, 5 Januari 868) alikuwa mmonaki aliyeanzisha monasteri ya Redon huko Bretagne, ambamo, chini ya uongozi wake na kanuni ya Mt. Benedikto, wamonaki walistawi kiroho. Baada ya hiyo kuteketezwa na Wanormani, alianzisha nyingine, alimofariki akiwa mzee s...'