Rekodi kuu za umma
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 08:39, 11 Juni 2024 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Taribo West (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Taribo West''' (alizaliwa tarehe 26/03/1974) ni mchungaji na mchezaji wa zamani wa Nigeria .aliyecheza kama beki. == Historia ya Maisha yake == Taribo West Alizaliwa huko Port Harcourt, Nigeria. Ni mchezaji ambaye alianzia maisha ya soka Katika Vilabu vya mtaani kabisa (obanta united) nchini Nigeria. Monday Sinclair ndiye mtu aliyegundua kipaji Cha Taribo west na kumpeleka kwenye klabu ya Sharks ambayo iko rivers state mwaka 1990 na hakudu...') Tag: KihaririOneshi
- 15:45, 10 Juni 2024 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Fyuzi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Fyuzi kwa lugha ya kiingerza (fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessivelectricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto. Fyuzi hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.') Tag: KihaririOneshi
- 06:17, 9 Juni 2024 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Fujo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Fujo''' ni neno la kiswahili linalomaanisha ghasia au machafuko. Ni hali ambapo kuna vurugu au kutokuwa na utulivu katika mazingira fulani. Fujo zinaweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama migogoro,maandamano,au kutofautiana kwa maoni.') Tag: KihaririOneshi
- 15:18, 7 Juni 2024 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Shule ya Sekondari Minaki (hakuna) Tag: KihaririOneshi
- 12:54, 11 Julai 2023 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Shule ya sekondari Minaki (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Minaki''' ni shule ya sekondari ya bweni ya kiume inayomilikiwa na serikali illiyopo katika wilaya ya kisarawe mkoa wa Pwani. Shule hii ipo kilomita 9 kutoka Gongolamboto iliyopo Dar es salaam.') Tags: KihaririOneshi Disambiguation links
- 15:01, 16 Julai 2022 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Kisigino (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kisigino ni Sehemu ya nyuma ya mguu wa mwanadamu nyuma ya upinde na chini ya kifundo cha mguu.') Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu Uhariri wa hali ya juu wa rununu
- 14:28, 15 Septemba 2019 Tomson G Wiston majadiliano michango created page James Hadley Chase (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''James Hadley Chase''' (René Lodge Brabazon Raymond) alizaliwa mnamo tarehe 24 Desemba 1906 huko London, Uingereza. Alikuwa mtoto wa Kanali Francis Raymond...') Tag: KihaririOneshi
- 13:51, 15 Septemba 2019 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Emmanuel Culio (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|221x221px|Emmanuel Culio akiwa uwanja '''Juan Emmanuel Culio''' (amezaliwa 30 Agosti 1983) ni mtaalamu wa...') Tag: KihaririOneshi
- 12:26, 15 Septemba 2019 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Christopher Wren (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Fichier:Christopher_Wren_by_Godfrey_Kneller_1711.jpg|link=https://fr.wikipedia.org/wiki/Fichier:Christopher_Wren_by_Godfrey_Kneller_1711.jpg|right|thumb|261x2...') Tag: KihaririOneshi
- 13:27, 2 Juni 2019 Tomson G Wiston majadiliano michango created page George samson ohm (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Georg Simon Ohm ni mjerumani ambaye alizaliwa katika familia ya Waprotestanti huko Erlangen mwaka1789 na kufariki mwaka 1854, alikuwa mwanafizikia wa Ujeruma...') Tag: KihaririOneshi
- 12:57, 2 Juni 2019 Tomson G Wiston majadiliano michango created page Ufa(nomino) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ufa''' ni mpasuko mwembamba ulioko kwenye kitu bila ya kitu hicho kuachana kabisa.Mara nyingi ufa huwa unatokea kwenye nyumba,mwamba na...') Tag: KihaririOneshi
- 12:40, 12 Machi 2017 Akaunti ya mtumiaji Tomson G Wiston majadiliano michango iliundwa