Silabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo tu
Masahihisho
Mstari 6:
Kama silabi inaishia kwa [[konsonanti]] inaweza kuitwa silabi iliyofungwa, kama inaishia kwa [[vokali]] inaweza kuitwa silabi wazi.
 
Kuna lugha zilizo na silabi nyingi zilizofungwa kama [[Kiingereza]]. [[Kiswahili]] kinapendelea silabi wazi, lakini "m" na lugha"n" zinaweza kuwa mwishoni kwa silabi au kuwa silabi peke yao. Lugha kama [[KijapanKijapani]] kaributakriban hainahazina silabi za kufungwa.
 
Mifano ya maneno yenye silabi 1:
Mstari 13:
Maneno mengi ya Kiswahili huwa na silabi mbili au zaidi:
* ne-ndan-da
* ku-ja
* shu-le
Mstari 19:
* ma-a-na
* ra-fi-ki
* se-ko-ndan-da-ri
* se-ri-ka-li
* i-li-yo-fu-ngwan-gwa
Kuna lugha zinazotumia [[mwandiko wa silabi]] badala ya [[alfabeti]], kwa mfano [[abugida]].