Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
[[Kiini]] ni sehemu ya tanuri la nyuklia yenye fueli yote: [[mwatuko wa nyuklia]] unatokea hapa. Kiini ni pia mahali pa kutokea kwa [[joto]]. Kiini hutengenezwa ndani ya [[chumba]] cha pekee ambacho kina kwanza [[ukuta]] wa [[feleji]] (mara nyingi [[tufe]]) unaozungukwa na ukuta mnene wa [[saruji]] iliyoimarishwa.
Fueli imo kwa [[umbo]] la [[nondo]] za urani au plutoni. Nondo za fueli hufanywa kwa [[pipa]] la feleji linalojazwa vidonge vya urani. Hapo [[nyutroni]] zinatoka katika [[atomi]] za urani au plutoni zikigonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila [[mwatuko nyuklia|upasuaji]] wa atomi]] unaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto.
 
Kiasi cha nyutroni kinachopatikana kwa kazi hii hutawaliwa kwa kuingiza au kuondoa [[nondo dhibiti]]. Hizi nondo dhibiti hujaa vidonge vya [[bori]] au [[kadmi]] na kuzuia mwendo wa nyutroni.