Baba Tabita

Joined 30 Aprili 2006
michango 60,000
d (rekebisha mwaka)
(michango 60,000)
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 2016. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya lugha za Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Tarehe 1520 JanuariMei 20162017 nimefikisha michango [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php?user=Baba%20Tabita 5060,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!
62,394

edits