Milango ya fahamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Olhos de um gato-2.jpg|thumbnail|Macho, pua na nywele ndefu za "ndevu" ni milango muhimu kwa huyu paka]]
'''Milango ya fahamu''' ni ogani yaza mwili inayoturuhusuzinazoturuhusu kujua mazingira zetu. Mifano yake ni [[macho]] na [[masikio]].
 
Kibiolojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili kama vile [[nuru]], [[sauti]], [[halijoto]], [[mwendo]], [[harufu]] au [[ladha]] na kuzibadilisha katika mishtuko ya [[umeme]] inayofikishwa kwa njia ya mfumo wa [[neva]] hadi [[ubongo]].