Kiini cha atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:atomi lithi.jpg|thumbnail|Muundo wa atomu kwa mfano wa lithi: Mzingo wa Elektroni na Kiini cha atomu katika kitovu chake. Kiini kinafanywa na nyutroni (bila chaji) na protoni (chaji chanya).]]
'''Kiini cha atomu''' (pia '''nyukliasi ya atomu'''; kwa [[Kiingereza]]:''atomic nucleus'') ni sehemu ya ndani ya [[atomu]] inayozungukwa na [[mzingo elektroni]].
 
Atomu ni chembe ndogondogo zinazounda na kutofautisha [[elementi]] mbalimbali kama vile [[oksijeni]], [[chuma]] au [[kaboni]]. Kila kitu, kama ni gimba [[mango]], [[gesi]] au [[kiowevu]], kinaundwa na chembechembe ndogo. Kama kitu ni chakina elementi moja tu, kuna atomu za aina moja tu ndani yake. Vitu vingi vinaundwa na muungano wa elementi tofauti kwa mfano [[maji]] kwa oksijeni na [[hidrojeni]]. Hapo atomu tofauti zinaunganishwa kuwa [[molekyuli]]. Hizi molekyuli huwa ni muungano wa [[elementi]] auza aina tofauti ("[[kampaundi]]": kutoka Kiingereza "compounds"). Chembe ndogo ya kila elementi huitwa [[atomu]]. Kila elementi ina atomu za aina yake kulingana na [[asili]] yake.
 
Ndani ya kila atomu kuna tena chembechembe ndogo zaidi za aina tofauti, ambazo zinatajwa kama [[nyutroni]], [[protoni]] na [[elektroni]]. Muundo wa atomu ni kiini cha atomu, ambakoambamo sehemu kubwa ya [[masi]] yake inapatikana, kikizungukwa na elektroni kadhaa zinazotembea kwa njia zaozake nje ya kiini.
 
[[Kiini]] kinaundwa na [[protoni]] na [[nyutroni]]<ref>isipokuwa katika atomu ya [[hidrojeni]], ambayo ni atomu ndogo kabisa, ina protoni 1 pekee katika kiini</ref> na hizi kwa pamoja huitwa "nyukleoni" <ref>kutoka [[lat.Kilatini]] nucleus = kiini, yaani chembe za kiini</ref>.
 
Kiini chenyewe kina [[masi]] karibu yote ya atomu ndani yake (mnamo 99.9%, [[elektroni]] kwenye mzingo huwa na masi ndogo mno).