Nchi huru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Replacing Declaration_independence.jpg with File:Declaration_of_Independence_(1819),_by_John_Trumbull.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed:).
 
Mstari 1:
[[File:Declaration independenceof Independence (1819), by John Trumbull.jpg|thumb|250px|[[Koloni|Makoloni]] [[kumi na tatu]] ya [[Uingereza]] katika [[Amerika Kaskazini]] yakitoa tamko la kujitangaza huru mwaka 1776.]]
[[File:JuraIndependencia.jpg|thumb|250px|[[Chile]], koloni mojawapo la [[Hispania]] katika [[Amerika Kusini]], ilifanya vilevile mwaka [[1818]].]]
'''Nchi huru''' ni zile ambazo hazitawaliwi na nchi nyingine. Kauli hiyo haimanishi kwamba wananchi wake ni huru, kwa sababu pengine [[mfalme]] au [[rais]] ni mwenyeji, lakini anawanyima [[haki]] zao kwa kiasi hata kikubwa (ambacho kinaitwa [[udikteta]]).