Yasinta wa Fatima : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|Picha halisi ya Lusia Santos (''kushoto'') na binamu zake Fransisco na Yasinta Marto, mwaka [[1917.]] File:27...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:ChildrensofFatima.jpg|thumb|right|250px|[[Picha]] halisi ya Lusia Santos (''kushoto'') na binamu zake Fransisco na Yasinta Marto, mwaka [[1917]].]]
[[File:278px-Po-map fatima.png|thumb|upright|right|Mahali pa Fatima nchini Ureno.]]
[[image:Virgen de Fátima.JPG|thumb|200px|Sanamu iliyotiwa taji ya Bikira Maria ya Fatima katika [[kikanisa]] kilichopo mahali pa [[njozi]].]]
'''Yasinta Marto wa Fatima''' ([[11 Machi]] [[1910]] - [[20 Februari]] [[1920]]), ni [[jina]] la mmojawapo kati ya [[watoto]] watatu waliotokewa na [[malaika]] wa [[amani]] ([[1916]]), halafu na [[Bikira Maria]] ([[1917]]) kwao [[Fatima]], [[Ureno]], pamoja na [[binamu]] yake [[Lusia Santos]] na [[kaka]] yake [[Fransisko Marto]].
[[Njozi]] hizo zilithibitishwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa za kuaminika<ref>[[
Yasinta, pamoja na kaka yake Fransisko, alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[13 Mei]] [[2000]], halafu na Papa Fransisko kuwa [[mtakatifu]] tarehe 13 Mei [[2017]], miaka 100 kamili tangu tukio la kwanza, akiwa mdogo kuliko
==Tanbihi==
Mstari 12:
==Marejeo==
{{Refbegin}}
*{{cite book
Line 87 ⟶ 86:
[[Jamii:Waliozaliwa 1910]]
[[Jamii:Waliofariki 1920]]
[[Jamii:Mabikira]]
[[Category:
|