Geji sanifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '500px|thumb|Rangi ya buluu inaonyesha nchi ambako karibu njia zote za reli hutumia geji sanifu '''Geji sanifu''' (ing. '':en:st...'
 
Mstari 8:
 
Tangu miaka ya 200 hivi ilionekana ya kwamba hali ya miundombinu za reli hizi ilichakaa mno na kuanzia mwaka 2004 mipango ilianza ya kutengeneza upya reli katika Afrika ya Mashariki. Mpango Mkuu wa Usafiri wa Reli katika Afrika ya Mashariki ( East African Railway Master Plan) ulikuwa tayari mwaka 2009 ukipendekeza njia mpya za geji sanifu (zilizokuwa maarufu kwa kifupi cha SGR kwa standard gauge rail) za kuunganisha Kenya na Uganda, Ethiopia na Sudan Kusini, halafu Tanzania na Burundi na Rwanda hadi Uganda.
 
Reli ya SGR itaruhusu treni za mkasi mkubwa zaidi jinsi ilivyo sasa. Inaruhusu pia mabehewa kubeba mizigo mizito zaidi na hivyo kuongeza kiasi cha mzigo kwa kila behewa.
 
Ujenzi ulianza nchini Kenya ambako njia ya SGR kati ya [[Mombasa]] na [[Nairobi]] inatarajiwa kufunguliwa mwezi wa Juni 2017. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Kisumu]] kupitia [[Naivas]]ha na hatimaye hadi Malaba kwenye mpaka wa [[Uganda]]<ref>[http://krc.co.ke/sgr/ Standard Gauge Railway Development in Kenya], tovuti ya Kenya Railways Company, iliangaliwa Mei 2017</ref>.
 
Mwaka 2017 ulianza ujenzi wa awamu la kwanza la njia ya SGR nchini Tanzania inayolenga kuunganisha [[Dar es Salaam]] na [[Morogoro]]<ref>[http://www.theeastafrican.co.ke/business/Tanzania-railway-construction/2560-3801608-6plii9/index.html Turkish, Portuguese firms win bid to construct Tanzania’s SGR] , tovuti ya theeastafrican.co.ke ya 6 Februari 2017, iliangaliwa Mei 2017</ref>. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Mwanza]] na hatimaye hadi [[Burundi]].
 
 
==Marejeo==