Geji sanifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rail gauge world.svg|500px|thumb|Rangi ya buluu inaonyesha nchi ambako karibu njia zote za reli hutumia geji sanifu.]]
'''Geji sanifu''' (ing.kwa Kiingereza ''[[:en:standard gauge|standard gauge]]'') <ref>Kwa Kiingereza piaPia ''Stephenson gauge'' kutokana na [[mhandisi]] [[George Stephenson]], ''international gauge'' au ''normal gauge''</ref>) ni [[geji]] (yaani [[kipimo]] cha [[umbali]] kati ya [[pau]] [[mbili]] za [[njia ya reli]]) inayotumiwainayotumika zaidi [[duniani]]. Takriban [[asilimia]] 55 za njia zote za [[reli]] duniani zintumiazinatumia geji hii yenye [[upana]] wa [[milimita]] 1,435.<ref>[[Marekani]] pekee haikubali bado vipimo vya milimita, inaeleza geji sanifu kuwa na [[futi]] 4 na [[inchi]] 8 na [[nusu]], ambayo ni sawa na milimita 1,435</ref>
 
Hasa njia zote za reli ya mkasi mkubwa (isipokuwa [[Urusi]], [[Uzbekistan]] na [[Ufini]]) hutumia geji sanifu.
 
==Geji sanifu katika Afrika ya Mashariki==
Reli za [[Afrika ya Mashariki]] zilianzishwa wakati wa [[ukoloni]] kabla ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] na wakati ule geji nyembamba ya [[mita]] 1 ilichaguliwa kwa kusudi la kupunguza [[gharama]] za [[ujenzi]]. Njia ya [[TAZARA]] pekee kati ya [[Dar es Salaam]] na [[Zambia]] ina upana wa milimita 1067 ambayo ni kawaida ya mtandao wa [[Afrika ya Kusini]].
 
Tangu [[miaka ya 2002000]] hivi ilionekana ya kwamba hali ya [[miundombinu]] zaya reli hizi ilichakaa mno na kuanzia mwaka [[2004]] mipango ilianza ya kutengeneza upya reli katika Afrika ya Mashariki. Mpango Mkuu wa Usafiri wa Reli katika Afrika ya Mashariki ( East African Railway Master Plan) ulikuwa tayari mwaka [[2009]] [[ukipendekeza]] njia mpya za geji sanifu (zilizokuwa maarufu kwa kifupi chachake "SGR", kwayaani standard gauge rail) za kuunganisha [[Kenya]] na [[Uganda]], [[Ethiopia]] na [[Sudan Kusini]], halafu [[Tanzania]] na [[Burundi]] na [[Rwanda]] hadi Uganda.
 
Reli ya SGR itaruhusu [[treni]] za mkasi mkubwa zaidi jinsi ilivyo sasa. Inaruhusu pia [[behewa|mabehewa]] kubeba mizigo mizito zaidi na hivyo kuongeza kiasi cha [[mzigo]] kwa kila behewa.
 
Ujenzi ulianza nchini Kenya ambako njia ya SGR kati ya [[Mombasa]] na [[Nairobi]] inatarajiwa kufunguliwa mwezi wa Juni [[2017]]. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Kisumu]] kupitia [[NaivasNaivasha]]ha na hatimaye hadi [[Malaba]] kwenye mpaka wa [[Uganda]]<ref>[http://krc.co.ke/sgr/ Standard Gauge Railway Development in Kenya], tovuti ya Kenya Railways Company, iliangaliwa Mei 2017</ref>.
 
Mwaka 2017 ulianza ujenzi wa awamu laya kwanza laya njia ya SGR nchini Tanzania inayolenga kuunganisha [[Dar es Salaam]] na [[Morogoro]]<ref>[http://www.theeastafrican.co.ke/business/Tanzania-railway-construction/2560-3801608-6plii9/index.html Turkish, Portuguese firms win bid to construct Tanzania’s SGR] , tovuti ya theeastafrican.co.ke ya 6 Februari 2017, iliangaliwa Mei 2017</ref>. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Mwanza]] na hatimaye hadi [[Burundi]].
 
==Marejeo==
<references/>
 
 
[[jamii:Reli]]