Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 287:
 
Usafiri was majini pia unafanyika hasa katika bahari ya Hindi, hakuna meli ya serikali hapo na mashirika binafsi hutoa huduma.
Usafiri was majini hufanyika pia katika maziwa ya Victoria,Tanganyika na Nyasa. Miongoni mwa Meli ni MV Bukoba Iliozama mwaka 1996.
 
Katika ziwa Tanganyika ipo meli ya Mv Liemba ambayo ilianza kutumika tangia kipindi cha ukoloni was wajerumani, inatoa huduma kati ya miji ya mwambao wa ziwa Tanganyika na nchi jirani
 
 
Mwaka 2017 ulianza ujenzi wa awamu ya kwanza ya njia ya SGR nchini Tanzania inayolenga kuunganisha [[Dar es Salaam]] na [[Morogoro]]<ref>[http://www.theeastafrican.co.ke/business/Tanzania-railway-construction/2560-3801608-6plii9/index.html Turkish, Portuguese firms win bid to construct Tanzania’s SGR] , tovuti ya theeastafrican.co.ke ya 6 Februari 2017, iliangaliwa Mei 2017</ref>. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Mwanza]] na hatimaye hadi [[Burundi]].
 
== Utamaduni na sanaa ==