Krispino wa Viterbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mabano
No edit summary
Mstari 2:
'''Krispino wa Viterbo''' ([[13 Novemba]] [[1668]] – [[19 Mei]] [[1750]]) alikuwa [[bradha]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]].
 
Mtu asiye na [[elimu]], alijiwekea lengo la kulingana na [[bradha mtakatifu]] [[Felix wa Cantalice]], mtakatifu wa kwanza wa shirika lake.
 
Alitangazwa [[mwenye heri]] na [[Papa Pius VII]] tarehe [[7 Septemba]] [[1806]], akawa [[mtakatifu]] wa kwanza kutangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] ([[20 Juni]] [[1982]]).
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
{{mbegu-Mkristo}}