Mtango-tamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
 
Mstari 17:
'''Mtango-tamu''' (''Solanum muricatum'') ni [[mmea]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Solanaceae]]. Ijapokuwa mmea huu una mnasaba na [[mnyanya]], [[tunda|matunda]] yake, yaitwayo [[tango tamu|matango matamu]], yana ladha tofauti kabisa. Matunda haya yanafanana na [[gogwe|magogwe]] makubwa na ladha yao ni mchanganyiko wa [[tikiti-asali]] na [[tango]].
 
Mitango-tamu hukuzwa kwa biashara nchini [[Chili]], [[Australia]] ya Magharibi na [[Nyuzilandi]] hasa, lakini pia katika [[Kolombia]], [[Peru]], [[Ekwador]], [[Hispania]], [[KeniaKenya]], [[Maroko]] na [[Marekani]].
 
==Picha==