Tofauti kati ya marekesbisho "Ibuti la Jauza"

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''α''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Be...')
 
Umri wa Ibuti la Jauza hautimizi miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref>
 
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho waza [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milinimilioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref>
 
== Tazama pia ==