Tofauti kati ya marekesbisho "Kisanskrit"

69 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
d
kuongeza kiungo cha multitree using AWB
d
d (kuongeza kiungo cha multitree using AWB)
 
[[Picha:Devimahatmya Sanskrit MS Nepal 11c.jpg|thumb|300px|Mwandiko wa Sanskrit]]
'''Sanskrit''' ni lugha ya kale ya [[Uhindi]]. Ni maarufu kama lugha ya vitabu vitakatifu vya [[Uhindu]] na [[Ubuddha]].
 
Siku hizi ni lugha ya elimu na ya kidini inayojifunzwa na wataalamu na makuhani. Katika shule za sekondari nchini Uhindi inafundishwa pia na wanafunzi wengi wanapata kiwango fulani cha lugha hii. Zamani ilijadiliwa na watu kama lugha ya kawaida. Tangu karne kadhaa huandikwa kwa mwandiko wa [[Devanagari]].
 
{{InterWiki|code=sa}}
==Viungo vya nje==
*[http://www.language-archives.org/language/san makala za OLAC kuhusu Kisanskrit]
*[http://multitree.org/codes/san Kisanskrit katika tovuti ya Multitree]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/sans1269 lugha ya Kisanskrit katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/san
 
{{DEFAULTSORT:Sanskrit}}
 
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
[[Jamii:Lugha za Uhindi]]
62,394

edits