Ibuti la Jauza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''[[α]]''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi ([[:en:Orion (constellation)|Orion]])]]
'''Ibuti la Jauza''' ([[jina la kisayansi]] '''Alpha Orionis''', kwa [[ing.Kiingereza]] '''''[[:en:Betelgeuse|Betelgeuse]]''''') ni [[nyota]] ya aina ya [[jitu nyekundujekundu]] inayoonekana katika [[kundinyota]] [[Sayadi]] (''[[:en:Orion (constellation)|Orion]]'').
 
'''Ibuti la Jauza''' (jina la kisayansi '''Alpha Orionis''', [[ing.]] '''''[[:en:Betelgeuse|Betelgeuse]]''''') ni [[nyota]] ya aina ya [[jitu nyekundu]] inayoonekana katika [[kundinyota]] [[Sayadi]] (''[[:en:Orion (constellation)|Orion]]'').
 
==Jina==
[[Jina]] la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu [[karne]] nyingi na mabaria[[baharia|mabaharia]] waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta [[njia]] yao bahari[[Bahari|baharini]] wakati wa [[usiku]]. [[Asili]] ya jina ni [[Kiarabu]] <big>إبط الجوزاء</big> (''ibt al jauza'') na jina hili lilipokelewalilipokewa pia na [[wanaastronomia]] wa [[Ulaya]] wakati wa [[karne za kati]] na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" ('''[[α]]''' Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota ang'avuangavu zaidi katika kundiyota yake.<ref>Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika [[orodha ya Bayer]] inayomaanisha ni nyota ang'avu zaidiangavu kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi, maana ung'avu[[uangavu]] wake unachezacheza, lakini kwa kawaida [[Rijili Kantori ]] (Rigel) inang'aa zaidi.</ref>.
 
==Ung'avuUangavu na umbali==
Ni nyota ang'avuangavu ya [[tisa]] kati ya nyota zote zinazoonekana [[anga|angani]] na nyota ang'avuangavu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Ung'avuUangavu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.<ref>Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. ''American Association of Variable Star Observers'' (AAVSO). [http://www.aavso.org/vsots_alphaori]</ref>
 
[[Umbali]] wake na [[dunia]] ulikadiriwa mnamo mwaka [[2008]] kuwa [[miaka ya nuru]] 640<ref>Harper, Graham M. ''et al''. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. ''The Astronomical Journal'' '''135''' (4): 1430–40. [http://iopscience.iop.org/1538-3881/135/4/1430/]</ref>
 
==Hali ya nyota==
[[Umri]] wa Ibuti la Jauza hautimizihaufukii miaka [[milioni]] 10 lakini umeendelea haraka kutokana na [[masi]] yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref>
 
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref>
Line 22 ⟶ 21:
{{reflist}}
 
[[Category:JituMajitu jekundumekundu]]
 
[[Jamii:Nyota]]
 
 
 
[[Category:Jitu jekundu]]