Baharia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mabaharia wakiangalia kung'oa kwa nanga wakati wa kutoka bandarini Picha:Deck...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Anchor raising - USS Vella Gulf (CG 72) - 081027-N-1082Z-045.jpg|thumb|Mabaharia wakiangalia kung'oa kwa nanga wakati wa kutoka bandarini]]
[[Picha:Deckschrubben.JPG|thumb|Mabaharia Wajerumani kwenye kazi ya usafi wa sitaha kwenye jahazi mnamo 1958]]
'''Baharia''', pia '''mwanamaji''' ni mtu anayefanya kazi kwenye chombo cha usafiri majini, hasa [[baharini]] kama vile [[boti]], [[mashua]], [[jahazi]] au [[meli]]. "Mwanamaji" hutumiwa mara nyingi kwa kutaja mabaharia wa kijeshi.
 
Kuna kazi nyingi tofauti zinazotekelezwa na mabaharia. Mkuu wao ni [[nahodha]] au kapteni wa chombo. Katika mashua au jahazi ndogo mabaharia wote wanafanya kazi pamoja ilhali kazi sahili na ngumu zaidi hupewa kwa wale walio vijana. Kadri jinsi meli ni kubwa zaidi shughuli zinagawiwa baina ya mabaharia wenye ufundi fulani.