Kitibeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kitibeti''' ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Watibeti. Mwaka wa 2006 ida...'
 
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
 
Mstari 1:
'''Kitibeti''' ni [[Lugha za Kisino-Tibeti|lugha ya Kisino-Tibeti]] nchini [[Uchina]], [[Uhindi]] na [[Nepal]] inayozungumzwa na [[Watibeti]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitibeti nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 1,070,000. Pia kuna wasemaji 85,300 nchini Uhindi (2001) na wasemaji 4450 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitibeti iko katika kundi la Kibodish.
 
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/bod lugha ya Kitibeti kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/bod.html ramani ya Kitibeti]
*[http://www.language-archives.org/language/bod makala za OLAC kuhusu Kitibeti]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/tibe1272 lugha ya Kitibeti katika Glottolog]