Umoja wa Kimataifa wa Astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 68 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q6867 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Internationale Astronomische Union Logo.svg|250px|thumbnail|Nembo la I.A.U.]]
[[Picha:Opening Ceremony IAU2006GA.jpg|thumbnail|Mkutano Mkuu wa I.A.U. wa mwaka 2006 mjini [[Prague]] ambako kundi mpya la "[[sayari kibete]]" lilitambuliwa]]
'''Umoja wa kimataifa wa astronomia''' ('''International Astronomical Union''' - '''IAU''' au '''Union astronomique internationale, UAI''') ni shirika la kimataifa linalounganisha mashirika ya wataalamu wa [[astronomia]] kutoka nchi mbalimbali. Lilianzishwa mwaka 1919 na ofisi yake iko mjini [[Paris]], [[Ufaransa]].
 
Shabaha ya umoja ni kuendeleza na kuhifadhi elimu ya astronomia. Wanachama ni wataalamu waliosoma sayansi hii na kufanya kazi ya uchunguzi na kufundisha katika vyuo vikuu au taasisi za astronomia. mwaka 2008 idadi ilikuwa wanachama 9623 katika nchi 86.