Ilias : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Ilitungwa kama tenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.
 
Utenzi huu inasimulia matukio ya [[vita ya TroyaTroia]] pamoja na habari za mashujaa zake pande mbili za vita hii. Inakusanya pia habari nyingi za miungi ya Ugiriki. Anayetajwa kama mwandishi ni mshairi [[Homer]] hata kama wataalamu wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.
 
Katika historia ndefu ya miaka 10 ya vita ya TroyaTroia Ilias inasimulia wiki za mwisho tu. Inaanza na hasira ya mungu Apollon kwa sababu ya tendo la Achilles kumteka binti wa kuhani wa mungu huyu na fitina kati ya mshujaa Achilles na mfalme Agamemnon inayofuata. Kutokana na fitna hii Achilles anagoma kushiriki katika vita tena na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anaudi vitani baada ya kuawa kwa rafiki yake Patroklos kwa mkono wa shujaa MtroyaMtroia Hektor. Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga. Mwishoni anatulia anamruhusu babake Hektor kumzika mwanawe.
 
Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na [[Achilles]], [[Odiseo]], [[Agamemnon]], [[Menelao]], [[Priamo]], [[Hektor]], [[Paris (mitholojia)|Paris]] na [[Helena]].