Tofauti kati ya marekesbisho "Ilias"

111 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:Beginning Iliad.svg|thumb|right|250px|Aya ya kwanza ya ''Iliadi'']]
[[Picha:Homeric Greece-en.svg|thumb|250px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
'''Ilias''' au '''Iliadi''' (kwa [[Kigiriki]] Ἰλιάς, ''ilias'', [[jina]] mbadala la [[mji]] wa [[Troia]]) ni [[utenzi]] wa kale na mfano wa kwanza wa [[fasihi andishi]] ya [[utamaduni]] wa [[Ugiriki ya Kale]]. Ilitungwa kama utenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na [[nyimbo]] au sehemu kubwa 24.
Ilitungwa kama tenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.
 
Utenzi huu inasimuliaunasimulia matukio ya [[vita ya Troia]] pamoja na habari za mashujaa zakewake pande [[mbili]] za [[vita]] hii. Inakusanya pia habari nyingi za miungi[[miungu]] ya Ugiriki. Anayetajwa kama mwandishi ni mshairi [[HomerUgiriki]]. hata kama wataalamu wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.
 
Anayetajwa kama [[mwandishi]] ni [[mshairi]] [[Homer]] hata kama [[wataalamu]] wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.
Katika historia ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troia Ilias inasimulia wiki za mwisho tu. Inaanza na hasira ya mungu Apollon kwa sababu ya tendo la Achilles kumteka binti wa kuhani wa mungu huyu na fitina kati ya mshujaa Achilles na mfalme Agamemnon inayofuata. Kutokana na fitna hii Achilles anagoma kushiriki katika vita tena na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anaudi vitani baada ya kuawa kwa rafiki yake Patroklos kwa mkono wa shujaa Mtroia Hektor. Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga. Mwishoni anatulia anamruhusu babake Hektor kumzika mwanawe.
 
Katika [[historia]] ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troia Ilias inasimulia [[wiki]] za mwisho tu. Inaanza na [[hasira]] ya mungu [[Apollon]] kwa sababu ya tendo la [[Achilles]] kumteka [[binti]] wa [[kuhani]] wa mungu huyu na [[fitina]] kati ya mshujaa[[shujaa]] Achilles na [[mfalme]] [[Agamemnon]] inayofuata. Kutokana na fitnafitina hii Achilles anagoma kushiriki tena katika vita tena na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anaudianarudi vitani baada ya kuawakuuawa kwa [[rafiki]] yake [[Patroklos]] kwa [[mkono]] wa shujaa Mtroia [[Hektor]]. Anamwua Hektor na kuacha [[maiti]] yake kwa siku 12 kwenye [[mchanga]]. Mwishoni anatulia anamruhusuna babakekumruhusu [[baba]] yake Hektor kumzika [[Mwana|mwanawe]].
 
Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na [[Achilles]], [[Odiseo]], [[Agamemnon]], [[Menelao]], [[Priamo]], [[Hektor]], [[Paris (mitholojia)|Paris]] na [[Helena]].
 
Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa ''[[Odisei]]'', Ilias ni [[chanzo]] cha [[fasihi]] ya Ugiriki ya Kale.
 
== Viungo va Njenje ==
{{wikisource|Author:Homer|Iliad}}
{{wikiquote-en|Homer|Iliad}}
* [http://publicliterature.org/books/iliad/xaa.php ''Iliad''], online version of the work by Homer (English). Pope translation.
* ''Iliad'' in Ancient Greek: [http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?lookup=Hom.+Il.+1.1 from the Perseus Project] (PP), with the Murray and Butler translations and hyperlinks to mythological and grammatical commentary; [http://www.library.northwestern.edu/homer/html/application.html via the Chicago Homer], with the Lattimore translation and markup indicating formulaic repetitions
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Fasihi ya Kigiriki]]