Kifon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
+ramani
Mstari 1:
[[Picha:Gbe_languages.png|right|thumb|Enezi la Kifon, 1988]]
'''Kifon''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Benin]] inayozungumzwa na [[Wafon]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kifon nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 1,400,000. Pia kuna wasemaji 35,000 nchini [[Togo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifon iko katika kundi la Kikwa.