Paskali Baylon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:LienzoS Pascual.jpg|thumb|200px|right|[[Picha]] ya Paskali Baylón, inayotunzwa katika [[parokia]] ya Torrehermosa.]]
'''Paskali Baylon Yubero''' ([[Torrehermosa]], [[Zaragoza]], [[16 Mei]] [[1540]] - [[Villarreal]], [[Castellón]], [[17 Mei]] [[1592]]) alikuwa [[bruda]] wa [[utawa]] wa [[Ndugu Wadogo]] nchini [[Hispania]].
 
Alitangazwa na [[Papa Paulo V]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[19 Oktoba]] [[1618]], halafu na [[Papa Alexander VIII]] kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[16 Oktoba]] [[1690]].
 
Ni msimamizi wa [[ibada]] za [[ekaristi]].
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Viungo vya nje==