Paulo wa Msalaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Vishawishi vya kukata tamaa na huzuni vilimlemea. Hata hivyo katika jaribu hilo la muda mrefu alionyesha [[subira]] kubwa, kujiachilia kikamilifu katika [[mapenzi ya Mungu]] pamoja na wema mkubwa kwa wale waliomkaribia. Siku moja alimuambia kiongozi wake wa Kiroho, “Kama wangeniuliza muda wowote ninafikiria nini, naona ningeweza kujibu roho yangu inajihusisha na Mungu”. Ilikuwa hivyo hata alipojiona hana tena imani, tumaini na upendo: “Naona haiwezekani kuacha kumfikiria Mungu, kwa kuwa roho yangu imejawa naye, nasi sote tumo ndani mwake”.
 
Alipokuwa akipitia [[barabara]] za Roma na kulia, “Kutoka njia ya Paulo, utuopoe, Ee Bwana”, aliweza kupumua tu upande wa Mungu. Kwa miaka 45, usiku na mchana, sala yake chungu, ya kishujaa, isiyokoma, ilimtafuta kwa [[ari]] kwa niaba ya watu aliokuwa anateseka kwa ajili yao. Hivyo alitekeleza maneno ya Mwalimu “ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa” (Lk 18:1).
 
Paulo aliandika tena, “Tabu ndogondogo za mwili au za roho ndiyo vidato vya kwanza vya ile ngazi ndefu takatifu inayopandwa na watu bora na wakarimu. Hao wanapanda hatua kwa hatua hadi kufikia kidato cha mwisho. Huko juu wanakuta uchungu safi kabisa, usiochanganyikana hata kidogo na faraja toka mbinguni wala duniani. Nao wakiwa waaminifu wasijitafutie faraja yoyote, watavuka toka huo uchungu safi hadi upendo safi wa Mungu usiochanganyikana na chochote kingine. Lakini wanaofikia hatua hiyo ni wachache sana… Wanajiona kana kwamba wameachwa na Mungu, kwamba yeye hawapendi tena, amewakasirikia… Nikiruhusiwa kusema hivi, kidogo ni kama adhabu ya kumkosa Mungu milele, ni teso ambalo uchungu wake hauna mfano. Lakini mtu akiwa mwaminifu anakusanya hazina isiyopimika! Dhoruba zinapita na kwenda zake, kumbe yeye anakaribia muungano halisi, mtamu na wa dhati na Yesu msulubiwa, ambaye anamgeuza ndani mwake na kumlinganisha naye”.
Mstari 31:
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Marejeo==
*[https://archive.org/details/thelifeofthebles01strauoft Life of St. Paul of the Cross by St. Vincent Strambi]
*"Letters of Saint Paul of the Cross" (3 Volumes), Hyde Park, NY: New City Press, 2000
*Bialas, Martin. "The Mysticism of the Passion in St Paul of the Cross" (Introduction by Jurgen Moltmann), San Francisco: Ignatius Press, 1990
*Spencer, Paul Francis. "As a Seal upon your Heart - The Life of St Paul of the Cross, Founder of the Passionists," Slough: St Paul's, 1994
*Cingolani, Gabriele. "Saint Paul of the Cross: Challenged by the Crucified," Passionist Publications, 1994
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.stpetersbasilica.info/Statues/Founders/PauloftheCross/Paul%20of%20the%20Cross.htm Founder Statue in St Peter's Basilica]
* [http://paul.de.la.croix.free.fr French site dedicated to St Paul of the Cross]
* [http://www.catholic.org/saints/saint.php?saint_id=810 St. Paul of the Cross from Catholic Online]
 
{{mbegu-Mkristo}}